Native Bible

Genesis 36:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori.

Genesis 36:21 in English

Genesis 36:21 · Berean Standard Bible

Dishon, Ezer, and Dishan. They are the chiefs of the Horites, the descendants of Seir in the land of Edom.

Context

19Hawa ndio waliokuwa wana wa Esau (ndiye Edomu), na hawa ndio waliokuwa wakuu wao. 20Hawa ndio walikuwa wana wa Seiri, Mhori, waliokuwa wakiishi katika nchi ile: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, 21Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori. 22Wana wa Lotani walikuwa: Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 23Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.