Mwanzo 36:20
Genesis 36:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio walikuwa wana wa Seiri, Mhori, waliokuwa wakiishi katika nchi ile: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,
Genesis 36:20 in English
Genesis 36:20 · Berean Standard Bible
These are the sons of Seir the Horite, who were living in the land: Lotan, Shobal, Zibeon, Anah,
Context
18Wakuu wa wana wa Esau ambao mkewe Oholibama alimzalia ni:
Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wakuu waliotoka kwa mke wa Esau, Oholibama binti Ana. 19Hawa ndio waliokuwa wana wa Esau (ndiye Edomu), na hawa ndio waliokuwa wakuu wao. 20Hawa ndio walikuwa wana wa Seiri, Mhori, waliokuwa wakiishi katika nchi ile:
Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, 21Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori. 22Wana wa Lotani walikuwa:
Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.