Native Bible

Genesis 36:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu.

Genesis 36:23 in English

Genesis 36:23 · Berean Standard Bible

These are the sons of Shobal: Alvan, Manahath, Ebal, Shepho, and Onam.

Context

21Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori. 22Wana wa Lotani walikuwa: Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 23Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. 24Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake. 25Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti wa Ana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.