Native Bible

Genesis 36:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.

Genesis 36:26 in English

Genesis 36:26 · Berean Standard Bible

These are the sons of Dishon:* Hemdan, Eshban, Ithran, and Cheran.

Context

24Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake. 25Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti wa Ana. 26Wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 27Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. 28Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.