Mwanzo 36:33
Genesis 36:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake.
Genesis 36:33 in English
Genesis 36:33 · Berean Standard Bible
When Bela died, Jobab son of Zerah from Bozrah reigned in his place.
Context
31Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala: 32Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. 33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 34Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 35Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.