Mwanzo 36:35
Genesis 36:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.
Genesis 36:35 in English
Genesis 36:35 · Berean Standard Bible
When Husham died, Hadad son of Bedad, who defeated Midian in the country of Moab, reigned in his place. And the name of his city was Avith.
Context
33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 34Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 35Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 36Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 37Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.