Mwanzo 36:37
Genesis 36:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake.
Genesis 36:37 in English
Genesis 36:37 · Berean Standard Bible
When Samlah died, Shaul from Rehoboth on the Euphrates * reigned in his place.
Context
35Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 36Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 37Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. 38Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 39Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.