Mwanzo 36:38
Genesis 36:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
Genesis 36:38 in English
Genesis 36:38 · Berean Standard Bible
When Shaul died, Baal-hanan son of Achbor reigned in his place.
Context
36Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 37Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. 38Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 39Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu. 40Hawa ndio wakuu waliotokana na Esau, kwa majina, kufuatana na koo zao na nchi zao:
Timna, Alva, Yethethi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.