Mwanzo 36:39
Genesis 36:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Genesis 36:39 in English
Genesis 36:39 · Berean Standard Bible
When Baal-hanan son of Achbor died, Hadad * reigned in his place. His city was named Pau, and his wife’s name was Mehetabel daughter of Matred, the daughter of Me-zahab.
Context
37Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. 38Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 39Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu. 40Hawa ndio wakuu waliotokana na Esau, kwa majina, kufuatana na koo zao na nchi zao:
Timna, Alva, Yethethi, 41Oholibama, Ela, Pinoni,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.