Mwanzo 36:41
Genesis 36:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Oholibama, Ela, Pinoni,
Genesis 36:41 in English
Genesis 36:41 · Berean Standard Bible
Oholibamah, Elah, Pinon,
Context
39Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu. 40Hawa ndio wakuu waliotokana na Esau, kwa majina, kufuatana na koo zao na nchi zao:
Timna, Alva, Yethethi, 41Oholibama, Ela, Pinoni, 42Kenazi, Temani, Mibsari, 43Magdieli na Iramu. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Edomu, kufuatana na makazi yao katika nchi waliyoimiliki.
Huyu ndiye alikuwa Esau, baba wa Waedomu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.