Mwanzo 19:23
Genesis 19:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati Loti alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi.
Genesis 19:23 in English
Genesis 19:23 · Berean Standard Bible
And by the time the sun had risen over the land, Lot had reached Zoar.
Context
21Akamwambia, “Vema sana, nitalikubali hili ombi pia, sitauangamiza mji ulioutaja. 22Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.*) 23Wakati Loti alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi. 24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora. 25Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote waliokuwa wanaishi katika miji, hata pia mimea yote katika nchi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.