Mwanzo 19:25
Genesis 19:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote waliokuwa wanaishi katika miji, hata pia mimea yote katika nchi.
Genesis 19:25 in English
Genesis 19:25 · Berean Standard Bible
Thus He destroyed these cities and the entire plain, including all the inhabitants of the cities and everything that grew on the ground.
Context
23Wakati Loti alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi. 24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora. 25Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote waliokuwa wanaishi katika miji, hata pia mimea yote katika nchi. 26Lakini mke wa Loti akatazama nyuma, hivyo akawa nguzo ya chumvi. 27Asubuhi na mapema siku iliyofuata, Abrahamu akaamka na kurudi mahali pale aliposimama mbele za Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.