Native Bible

Genesis 19:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mke wa Loti akatazama nyuma, hivyo akawa nguzo ya chumvi.

Genesis 19:26 in English

Genesis 19:26 · Berean Standard Bible

But Lot’s wife looked back, and she became a pillar of salt.

Context

24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora. 25Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote waliokuwa wanaishi katika miji, hata pia mimea yote katika nchi. 26Lakini mke wa Loti akatazama nyuma, hivyo akawa nguzo ya chumvi. 27Asubuhi na mapema siku iliyofuata, Abrahamu akaamka na kurudi mahali pale aliposimama mbele za Bwana. 28Akatazama upande wa Sodoma na Gomora, kuelekea nchi yote ya tambarare, akaona moshi mzito ukipanda kutoka kwenye nchi, kama moshi utokao kwenye tanuru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.