Native Bible

Genesis 19:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.*)

Genesis 19:22 in English

Genesis 19:22 · Berean Standard Bible

Hurry! Run there quickly, for I cannot do anything until you reach it.” That is why the town was called Zoar.*

Context

20Tazama, hapa kuna mji karibu wa kukimbilia, nao ni mdogo. Niruhusuni nikimbilie humo, ni mdogo sana, ama sivyo? Ndipo maisha yangu yatasalimika.” 21Akamwambia, “Vema sana, nitalikubali hili ombi pia, sitauangamiza mji ulioutaja. 22Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.*) 23Wakati Loti alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi. 24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.