Native Bible

Genesis 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.)

Genesis 10:5 in English

Genesis 10:5 · Berean Standard Bible

From these, the maritime peoples separated into their territories, according to their languages, by clans within their nations.

Context

3Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 4Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 6Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani. 7Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.