Mwanzo 10:6
Genesis 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Hamu walikuwa: Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani.
Genesis 10:6 in English
Genesis 10:6 · Berean Standard Bible
The sons of Ham: Cush, Mizraim, Put, and Canaan.
Context
4Wana wa Yavani walikuwa:
Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 6Wana wa Hamu walikuwa:
Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani. 7Wana wa Kushi walikuwa:
Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka.
Wana wa Raama walikuwa:
Sheba na Dedani. 8Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.