Mwanzo 10:7
Genesis 10:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Kushi walikuwa: Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. Wana wa Raama walikuwa: Sheba na Dedani.
Genesis 10:7 in English
Genesis 10:7 · Berean Standard Bible
The sons of Cush: Seba, Havilah, Sabtah,* Raamah, and Sabteca. And the sons of Raamah: Sheba and Dedan.
Context
5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 6Wana wa Hamu walikuwa:
Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani. 7Wana wa Kushi walikuwa:
Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka.
Wana wa Raama walikuwa:
Sheba na Dedani. 8Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani. 9Alikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.