Mwanzo 10:9
Genesis 10:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.”
Genesis 10:9 in English
Genesis 10:9 · Berean Standard Bible
He was a mighty hunter before * the LORD; so it is said, “Like Nimrod, a mighty hunter before the LORD.”
Context
7Wana wa Kushi walikuwa:
Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka.
Wana wa Raama walikuwa:
Sheba na Dedani. 8Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani. 9Alikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.” 10Vituo vyake vya kwanza katika ufalme wake vilikuwa Babeli, Ereki, Akadi na Kalne katika Shinari. 11Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.