Mwanzo 10:11
Genesis 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala,
Genesis 10:11 in English
Genesis 10:11 · Berean Standard Bible
From that land he went forth into Assyria, where he built Nineveh, Rehoboth-Ir, Calah,
Context
9Alikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.” 10Vituo vyake vya kwanza katika ufalme wake vilikuwa Babeli, Ereki, Akadi na Kalne katika Shinari. 11Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala, 12na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. 13Misraimu alikuwa baba wa:
Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.