Mwanzo 10:12
Genesis 10:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa.
Genesis 10:12 in English
Genesis 10:12 · Berean Standard Bible
and Resen, which is between Nineveh and the great city of Calah.
Context
10Vituo vyake vya kwanza katika ufalme wake vilikuwa Babeli, Ereki, Akadi na Kalne katika Shinari. 11Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala, 12na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. 13Misraimu alikuwa baba wa:
Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, 14Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti), na Wakaftori.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.