Native Bible

Genesis 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Misraimu alikuwa baba wa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,

Genesis 10:13 in English

Genesis 10:13 · Berean Standard Bible

Mizraim was the father of the Ludites, the Anamites, the Lehabites, the Naphtuhites,

Context

11Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala, 12na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. 13Misraimu alikuwa baba wa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, 14Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti), na Wakaftori. 15Kanaani alikuwa baba wa: Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.