Native Bible

Genesis 10:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kanaani alikuwa baba wa: Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,

Genesis 10:15 in English

Genesis 10:15 · Berean Standard Bible

And Canaan was the father of Sidon his firstborn,* and of the Hittites,

Context

13Misraimu alikuwa baba wa: Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi, 14Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti), na Wakaftori. 15Kanaani alikuwa baba wa: Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi, 16Wayebusi, Waamori, Wagirgashi, 17Wahivi, Waariki, Wasini,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.