Mwanzo 10:4
Genesis 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.
Genesis 10:4 in English
Genesis 10:4 · Berean Standard Bible
And the sons of Javan: Elishah, Tarshish, the Kittites, and the Rodanites.*
Context
2Wana wa Yafethi walikuwa:
Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 3Wana wa Gomeri walikuwa:
Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 4Wana wa Yavani walikuwa:
Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 6Wana wa Hamu walikuwa:
Kushi, Misraimu,* Putu na Kanaani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.