Native Bible

Genesis 10:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.

Genesis 10:3 in English

Genesis 10:3 · Berean Standard Bible

The sons of Gomer: Ashkenaz, Riphath, and Togarmah.

Context

1Hawa ndio wazao wa Noa: Shemu, Hamu na Yafethi, ambao walizaa wana baada ya gharika. 2Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 3Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 4Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.)

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.