Native Bible

Genesis 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio wazao wa Noa: Shemu, Hamu na Yafethi, ambao walizaa wana baada ya gharika.

Genesis 10:1 in English

Genesis 10:1 · Berean Standard Bible

This is the account of Noah’s sons Shem, Ham, and Japheth, who also had sons after the flood.

Context

1Hawa ndio wazao wa Noa: Shemu, Hamu na Yafethi, ambao walizaa wana baada ya gharika. 2Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 3Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.