Native Bible

Genesis 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.

Genesis 10:2 in English

Genesis 10:2 · Berean Standard Bible

The sons of Japheth: Gomer, Magog, Madai, Javan, Tubal, Meshech, and Tiras.

Context

1Hawa ndio wazao wa Noa: Shemu, Hamu na Yafethi, ambao walizaa wana baada ya gharika. 2Wana wa Yafethi walikuwa: Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 3Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 4Wana wa Yavani walikuwa: Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.