Native Bible

Exodus 15:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maji yenye kina yamewafunika, wamezama mpaka vilindini kama jiwe.

Exodus 15:5 in English

Exodus 15:5 · Berean Standard Bible

The depths have covered them; they sank there like a stone.

Context

3Bwana ni shujaa wa vita; Bwana ndilo jina lake. 4Magari ya vita ya Farao na jeshi lake amewatosa baharini. Maafisa wa Farao walio bora sana wamezamishwa katika Bahari ya Shamu. 5Maji yenye kina yamewafunika, wamezama mpaka vilindini kama jiwe. 6“Mkono wako wa kuume, Ee Bwana ulitukuka kwa uweza. Mkono wako wa kuume, Ee Bwana, ukamponda adui. 7Katika ukuu wa utukufu wako, ukawaangusha chini wale waliokupinga. Uliachia hasira yako kali, ikawateketeza kama kapi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.