Kutoka 12:45
Exodus 12:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula.
Exodus 12:45 in English
Exodus 12:45 · Berean Standard Bible
A temporary resident or hired hand shall not eat the Passover.
Context
43Bwana akamwambia Mose na Aroni, “Haya ndiyo masharti kwa ajili ya Pasaka:
“Mgeni hataruhusiwa kula Pasaka. 44Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri, 45lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula. 46“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote. 47Jumuiya yote ya Israeli ni lazima waiadhimishe Pasaka hiyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.