Native Bible

Exodus 12:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri,

Exodus 12:44 in English

Exodus 12:44 · Berean Standard Bible

But any slave who has been purchased may eat of it, after you have circumcised him.

Context

42Kwa sababu Bwana aliutenga usiku ule ili kuwatoa Waisraeli katika nchi ya Misri, katika usiku huu Waisraeli wote wanapaswa kuadhimisha kwa kukesha ili kumheshimu Bwana katika vizazi vijavyo. 43Bwana akamwambia Mose na Aroni, “Haya ndiyo masharti kwa ajili ya Pasaka: “Mgeni hataruhusiwa kula Pasaka. 44Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri, 45lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula. 46“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.