Kutoka 12:43
Exodus 12:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose na Aroni, “Haya ndiyo masharti kwa ajili ya Pasaka: “Mgeni hataruhusiwa kula Pasaka.
Exodus 12:43 in English
Exodus 12:43 · Berean Standard Bible
And the LORD said to Moses and Aaron, “This is the statute of the Passover: No foreigner is to eat of it.
Context
41Ilikuwa ni siku ya mwisho ya hiyo miaka 430, vikosi vyote vya Bwana vilipokuwa vimeondoka Misri. 42Kwa sababu Bwana aliutenga usiku ule ili kuwatoa Waisraeli katika nchi ya Misri, katika usiku huu Waisraeli wote wanapaswa kuadhimisha kwa kukesha ili kumheshimu Bwana katika vizazi vijavyo. 43Bwana akamwambia Mose na Aroni, “Haya ndiyo masharti kwa ajili ya Pasaka:
“Mgeni hataruhusiwa kula Pasaka. 44Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri, 45lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.