Native Bible

Exodus 12:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.

Exodus 12:46 in English

Exodus 12:46 · Berean Standard Bible

It must be eaten inside one house. You are not to take any of the meat outside the house, and you may not break any of the bones.

Context

44Mtumwa yeyote ambaye mmemnunua aweza kuila kama mmemtahiri, 45lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula. 46“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote. 47Jumuiya yote ya Israeli ni lazima waiadhimishe Pasaka hiyo. 48“Mgeni aishiye miongoni mwenu ambaye anataka kuadhimisha Pasaka ya Bwana ni lazima wanaume wote waliomo nyumbani mwake wawe wametahiriwa, ndipo aweze kushiriki kama mzawa. Mwanaume yeyote asiyetahiriwa haruhusiwi kuila.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.