Kutoka 12:47
Exodus 12:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jumuiya yote ya Israeli ni lazima waiadhimishe Pasaka hiyo.
Exodus 12:47 in English
Exodus 12:47 · Berean Standard Bible
The whole congregation of Israel must celebrate it.
Context
45lakini kibarua yeyote au msafiri haruhusiwi kula. 46“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote. 47Jumuiya yote ya Israeli ni lazima waiadhimishe Pasaka hiyo. 48“Mgeni aishiye miongoni mwenu ambaye anataka kuadhimisha Pasaka ya Bwana ni lazima wanaume wote waliomo nyumbani mwake wawe wametahiriwa, ndipo aweze kushiriki kama mzawa. Mwanaume yeyote asiyetahiriwa haruhusiwi kuila. 49Sheria iyo hiyo itamuhusu mzawa na mgeni anayeishi miongoni mwenu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.