Kutoka 12:49
Exodus 12:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheria iyo hiyo itamuhusu mzawa na mgeni anayeishi miongoni mwenu.”
Exodus 12:49 in English
Exodus 12:49 · Berean Standard Bible
The same law shall apply to both the native and the foreigner who resides among you.”
Context
47Jumuiya yote ya Israeli ni lazima waiadhimishe Pasaka hiyo. 48“Mgeni aishiye miongoni mwenu ambaye anataka kuadhimisha Pasaka ya Bwana ni lazima wanaume wote waliomo nyumbani mwake wawe wametahiriwa, ndipo aweze kushiriki kama mzawa. Mwanaume yeyote asiyetahiriwa haruhusiwi kuila. 49Sheria iyo hiyo itamuhusu mzawa na mgeni anayeishi miongoni mwenu.” 50Waisraeli wote walifanya kama vile Bwana alivyomwagiza Mose na Aroni. 51Siku ile ile Bwana akawatoa Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.