Mhubiri 8:4
Ecclesiastes 8:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?”
Ecclesiastes 8:4 in English
Ecclesiastes 8:4 · Berean Standard Bible
For the king’s word is supreme, and who can say to him, “What are you doing?”
Context
2Nawaambia, Tii amri ya mfalme, kwa sababu uliapa mbele za Mungu. 3Usiharakishe kuondoka mbele ya mfalme. Usiendelee kutenda lililo baya, kwa maana mfalme atafanya lolote apendalo. 4Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?” 5Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika,
moyo wa hekima utajua wakati muafaka
na jinsi ya kutenda. 6Kwa maana kuna wakati muafaka
na utaratibu wa kila jambo,
ingawa huzuni ya mwanadamu
huwa nzito juu yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.