Native Bible

Ecclesiastes 8:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nawaambia, Tii amri ya mfalme, kwa sababu uliapa mbele za Mungu.

Ecclesiastes 8:2 in English

Ecclesiastes 8:2 · Berean Standard Bible

Keep the king’s command, I say, because of your oath before God.

Context

1Ni nani aliye kama mtu mwenye hekima? Ni nani ajuaye maelezo ya mambo? Hekima hungʼarisha uso wa mtu na kubadili ugumu wa uso wake. 2Nawaambia, Tii amri ya mfalme, kwa sababu uliapa mbele za Mungu. 3Usiharakishe kuondoka mbele ya mfalme. Usiendelee kutenda lililo baya, kwa maana mfalme atafanya lolote apendalo. 4Kwa kuwa neno la mfalme ndilo lenye mamlaka ya mwisho, nani awezaye kumwambia, “Je, wewe unafanya nini?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.