Native Bible

Ecclesiastes 12:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili! Kila kitu ni ubatili!”

Ecclesiastes 12:8 in English

Ecclesiastes 12:8 · Berean Standard Bible

“Futility of futilities,” says the Teacher. “Everything is futile!”

Context

6Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha, au bakuli la dhahabu halijavunjika; kabla mtungi kuvunjika kwenye chemchemi, au gurudumu kuvunjika kisimani, 7nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka, na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. 8Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili! Kila kitu ni ubatili!” 9Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi. 10Mhubiri alitafiti ili kupata maneno sahihi na kila alichoandika kilikuwa sawa na kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.