Native Bible

Ecclesiastes 12:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.

Ecclesiastes 12:9 in English

Ecclesiastes 12:9 · Berean Standard Bible

Not only was the Teacher wise, but he also taught the people knowledge; he pondered, searched out, and arranged many proverbs.

Context

7nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka, na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa. 8Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili! Kila kitu ni ubatili!” 9Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi. 10Mhubiri alitafiti ili kupata maneno sahihi na kila alichoandika kilikuwa sawa na kweli. 11Maneno ya wenye hekima ni kama mchokoro, mithali zao zilizokusanywa pamoja ni kama misumari iliyogongomewa ikawa imara, yaliyotolewa na Mchungaji mmoja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.