Native Bible

Daniel 5:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hii ndiyo maana ya maneno haya: “Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha.

Daniel 5:26 in English

Daniel 5:26 · Berean Standard Bible

And this is the interpretation of the message: MENE * means that God has numbered the days of your reign and brought it to an end.

Context

24Kwa hiyo ameutuma mkono ule ulioandika maneno. 25“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa: mene, mene, tekeli na peresi 26“Hii ndiyo maana ya maneno haya: “Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. 27Tekeli : Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua. 28Peresi : Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.