Danieli 5:27
Daniel 5:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tekeli : Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua.
Daniel 5:27 in English
Daniel 5:27 · Berean Standard Bible
TEKEL * means that you have been weighed on the scales and found deficient.
Context
25“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa:
mene, mene, tekeli na peresi 26“Hii ndiyo maana ya maneno haya:
“Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. 27Tekeli : Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua. 28Peresi : Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.” 29Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.