Danieli 5:28
Daniel 5:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Peresi : Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.”
Daniel 5:28 in English
Daniel 5:28 · Berean Standard Bible
PERES * means that your kingdom has been divided and given over to the Medes and Persians.”
Context
26“Hii ndiyo maana ya maneno haya:
“Mene: Mungu amezihesabu siku za utawala wako na kuukomesha. 27Tekeli : Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua. 28Peresi : Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.” 29Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme. 30Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.