Native Bible

Daniel 5:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme.

Daniel 5:29 in English

Daniel 5:29 · Berean Standard Bible

Then Belshazzar gave the command, and they clothed Daniel in purple, placed a gold chain around his neck, and proclaimed him the third highest ruler in the kingdom.

Context

27Tekeli : Wewe umepimwa katika mizani na umeonekana umepungua. 28Peresi : Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.” 29Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme. 30Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa, 31naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.