Native Bible

Daniel 5:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.

Daniel 5:31 in English

Daniel 5:31 · Berean Standard Bible

and Darius the Mede received the kingdom at the age of sixty-two.

Context

29Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme. 30Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa, 31naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.