Danieli 5:30
Daniel 5:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,
Daniel 5:30 in English
Daniel 5:30 · Berean Standard Bible
That very night Belshazzar king of the Chaldeans * was slain,
Context
28Peresi : Ufalme wako umegawanywa na kupewa Wamedi na Waajemi.” 29Ndipo kwa amri ya Belshaza, Danieli akavikwa nguo za zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni, tena akatangazwa kuwa mtawala wa tatu katika ufalme. 30Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa, 31naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.