Native Bible

Amos 2:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na shujaa hataweza kuokoa maisha yake.

Amos 2:14 in English

Amos 2:14 · Berean Standard Bible

Escape will fail the swift, the strong will not prevail by his strength, and the mighty will not save his life.

Context

12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 13“Sasa basi, nitawaponda kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. 14Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 15Mpiga upinde atakimbia, askari wapiga mbio hawataweza kutoroka, na mpanda farasi hataokoa maisha yake. 16Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.