Native Bible

Amos 2:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema Bwana.

Amos 2:16 in English

Amos 2:16 · Berean Standard Bible

Even the bravest of mighty men will flee naked on that day,” declares the LORD.

Context

14Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 15Mpiga upinde atakimbia, askari wapiga mbio hawataweza kutoroka, na mpanda farasi hataokoa maisha yake. 16Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.