Amosi 2:15
Amos 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mpiga upinde atakimbia, askari wapiga mbio hawataweza kutoroka, na mpanda farasi hataokoa maisha yake.
Amos 2:15 in English
Amos 2:15 · Berean Standard Bible
The archer will not stand his ground, the fleet of foot will not escape, and the horseman will not save his life.
Context
13“Sasa basi, nitawaponda
kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. 14Mkimbiaji hodari hatanusurika,
wenye nguvu wataishiwa nguvu zao,
na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 15Mpiga upinde atakimbia,
askari wapiga mbio hawataweza kutoroka,
na mpanda farasi hataokoa maisha yake. 16Hata askari walio mashujaa sana
siku hiyo watakimbia uchi,”
asema Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.