Native Bible

Amos 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sasa basi, nitawaponda kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka.

Amos 2:13 in English

Amos 2:13 · Berean Standard Bible

Behold, I am about to crush you in your place as with a cart full of grain.

Context

11Pia niliinua manabii kutoka miongoni mwa wana wenu na Wanadhiri kutoka miongoni mwa vijana wenu. Je, hii si kweli, enyi watu wa Israeli?” asema Bwana. 12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 13“Sasa basi, nitawaponda kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. 14Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na shujaa hataweza kuokoa maisha yake. 15Mpiga upinde atakimbia, askari wapiga mbio hawataweza kutoroka, na mpanda farasi hataokoa maisha yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.