Amosi 2:11
Amos 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia niliinua manabii kutoka miongoni mwa wana wenu na Wanadhiri kutoka miongoni mwa vijana wenu. Je, hii si kweli, enyi watu wa Israeli?” asema Bwana.
Amos 2:11 in English
Amos 2:11 · Berean Standard Bible
I raised up prophets from your sons and Nazirites from your young men. Is this not true, O children of Israel?” declares the LORD.
Context
9“Nilimwangamiza Mwamori mbele yao,
ingawa alikuwa mrefu kama mierezi,
na mwenye nguvu kama mialoni.
Niliyaangamiza matunda yake juu
na mizizi yake chini. 10“Niliwapandisha toka Misri,
na nikawaongoza miaka arobaini jangwani
niwape nchi ya Waamori. 11Pia niliinua manabii kutoka miongoni mwa wana wenu
na Wanadhiri kutoka miongoni mwa vijana wenu.
Je, hii si kweli, enyi watu wa Israeli?”
asema Bwana. 12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo
na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 13“Sasa basi, nitawaponda
kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.