Native Bible

Amos 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.

Amos 2:12 in English

Amos 2:12 · Berean Standard Bible

“But you made the Nazirites drink wine and commanded the prophets not to prophesy.

Context

10“Niliwapandisha toka Misri, na nikawaongoza miaka arobaini jangwani niwape nchi ya Waamori. 11Pia niliinua manabii kutoka miongoni mwa wana wenu na Wanadhiri kutoka miongoni mwa vijana wenu. Je, hii si kweli, enyi watu wa Israeli?” asema Bwana. 12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 13“Sasa basi, nitawaponda kama gari lipondavyo wakati limejazwa nafaka. 14Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na shujaa hataweza kuokoa maisha yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.