Native Bible

Acts 2:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ndugu zangu Waisraeli, nataka niwaambie kwa uhakika kwamba baba yetu Daudi alikufa na kuzikwa, nalo kaburi lake lipo hapa mpaka leo.

Acts 2:29 in English

Acts 2:29 · Berean Standard Bible

Brothers, I can tell you with confidence that the patriarch David died and was buried, and his tomb is with us to this day.

Context

27Kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu. 28Umenionyesha njia za uzima, utanijaza na furaha mbele zako.’ 29“Ndugu zangu Waisraeli, nataka niwaambie kwa uhakika kwamba baba yetu Daudi alikufa na kuzikwa, nalo kaburi lake lipo hapa mpaka leo. 30Lakini alikuwa nabii na alijua ya kuwa Mungu alikuwa amemwahidi kwa kiapo kwamba angemweka mmoja wa wazao wake penye kiti chake cha enzi. 31Daudi, akiona mambo yaliyoko mbele, akanena juu ya kufufuka kwa Kristo,* kwamba hakuachwa kaburini, wala mwili wake haukuona uharibifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.